Serengeti Boys watakiwa kuondoa hofu kwa wapinzani
Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys kimetakiwa kuondoa wasiwasi kwa timu watakazokutana nazo katika mashindano maalumu ya soka ya Kimataifa kwa vijana yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini India (AIFF).