Uongozi wa soko la buguruni waipongeza Manispaa

Uongozi wa Soko la Buguruni jijini Dar es Salaam umesema kuwa wanaunga mkono uamuzi wa Manispaa ya Ilala kuamua kufanya usajili wa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika soko hilo kwani utawarahisishia katika ukusanyaji wa mapato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS