CCM haifanyi mambo kanyaga twende- Jafo.
Naibu waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI utumishi na utawala bora Suleiman Jafo amesema kwamba serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) haifanyi mambo ya kanyaga twende bali inajitahidi kuleta huduma bora kwa wananchi.