Mcameroon mwingine afia uwanjani nchini Romania Kiungo Mcameroon wa Dinamo Bucharest, Patrick Ekeng amefariki hospitali baada ya kuanguka na kupoteza fahamu uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Romania jana. Read more about Mcameroon mwingine afia uwanjani nchini Romania