Wanaoficha sukari ni wahujumu uchumi-Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema wafanyabiashara wote wanaoficha sukari ni wahujumu uchumi na ikipatikana sukari yao wananchi watagawiwa bure. Read more about Wanaoficha sukari ni wahujumu uchumi-Rais Magufuli