Patrick Ekeng afariki baada ya kuanguka dimbani Mchezaji wa klabu ya Dinamo Bucharest ambaye pia ni kiungo wa Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki dunia kwa shambulio la moyo baada ya kuanguka uwanjani akicheza mpira. Read more about Patrick Ekeng afariki baada ya kuanguka dimbani