Ninashirikiana vyema na Mkuu wa Mkoa Makonda-Mwita Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita (CHADEMA) amesema kwamba anaungana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika kuwaletea wananchi maendeleo. Read more about Ninashirikiana vyema na Mkuu wa Mkoa Makonda-Mwita