Kikwete kumuwakilisha Magufuli maziko ya Kibaki Dkt Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo Rais mstaafu wa awamu ya nne wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, anatajia kushiriki maziko ya Mama Lucy Kibaki nchini Kenya. Read more about Kikwete kumuwakilisha Magufuli maziko ya Kibaki