Wakili aiomba maakama imuachie Gwajima

Wakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala ameiomba Mahakama imuachie mteja wake anayetuhumiwa kumtolea lugha ya matusi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS