Ajali za Kemikali 11 zimesababisha vifo 14
Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini Tanzania imesema katika kipindi cha mwaka mojaa jumla ya matukio na ajali za Kemikali 11 ambazo zilitolewa taarifa na kusababisha vifo vya watu 14 pamoja na uharibifu mkubwa wa mali.