Soko la Makumbusho lakabiliwa na changamoto.
Mwenyekiti wa soko la Makumbusho jijini Dar es salaam Bw Suleyman Diwani anaiomba Manispaa ya Kinondoni iwasaidie kupunguza changamoto mbalimbali zinazolikabili soko hilo ili wawezse kufanyabiashara zao kama ilivyokuwa awali.