Saratani ya jicho inaadhiri watoto asilimia 80.
Daktari bingwa wa magonjwa ya Saratani kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dr. Anna Sanyiwa amesema asilimia 80 ya watoto wenye umri kati ya mwaka 1 hadi 5 wanaougua Saratani ya jicho nchini Tanzania hupoteza maisha kila mwaka.