Serikali yaalika wadau kuboresha uhuru wa habari Nape Nnauye Serikali imesema ipo tayari kukaa pamoja na wadau wa sekta ya habari nchini, ili kuweza kupitia muswada wa huduma ya habari na sheria ya upatikanaji wake kabla ya kuupeleka Bungeni. Read more about Serikali yaalika wadau kuboresha uhuru wa habari