Fuata taratibu za ushuru kuepuka hasara bandarini

Wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Dar es salaam kwa shughuli ya kusafirisha na kuingiza mizigo wame shauriwa kuhakikisha kuwa wanaandaa Nyaraka na kufuata taratibu za ushuru ili kuondokana na usumbufu wa kukwama kwa mizigo bandarini hapo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS