Walemavu; Tutengewe makazi ya kuishi

Mlemavu wa viungo ambaye anaishi kwa kutegemea shuguli za kuomba katika maeneo ya katikati ya jiji la Dar es salaam ameiomba serikali kumsaidia mahala pa kuishi kwani amekuwa akilala katika nyumba ya wageni kwa muda mrefu sasa baada ya kutengwa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS