Jela miaka 30 kwa unyang'anyi wa kutumia silaha Mahakama ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela mkazi mmoja wilayani humo Evaristo Msemwa(35) kutokana na kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha. Read more about Jela miaka 30 kwa unyang'anyi wa kutumia silaha