RC Mtwara awasimamisha watumishi 4 kwa ubadhirifu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego amewasimamisha kazi maafisa utumishi wanne wa halmashauri za Masasi na Nanyumbu, kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha. Read more about RC Mtwara awasimamisha watumishi 4 kwa ubadhirifu