BBall Kitaa yaanza kwa miruko hatari ya Slum Dunk.
Katika kuashiria kuanza kwa msimu wa ligi pendwa ya mchezo wa mpira wa kikapu cha mtaani maarufu kama BBall Kitaa michuano ambayo hufanyika kila mwaka katika vitongoji tofauti hapa nchini tayari waandaaji wamefungua kwa shindano la miruko Slum Dunk.