Yanga na Stand United kuendeleza Ligi Kuu kesho
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea tena hapo kesho kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga watakuwa ugenini dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.