Nimefurahi kukutana na mashabiki wangu- Ali Kiba Msanii wa Bongo Flava Ali Kiba amesema kwamba amefurahi sana kukutana na mashabiki wake ambao hawajawahi kuonana nao tangu aanze muziki wa Bongo Flava nchini. Read more about Nimefurahi kukutana na mashabiki wangu- Ali Kiba