Azam FC yakata tamaa ya Ubingwa Ligi Kuu Bara Timu ya Azam FC imesema ni miujiza kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwa sasa lakini watapambana kwa michezo iliyobakia ili kuweza kushika nafasi ya pili katika ligi hiyo. Read more about Azam FC yakata tamaa ya Ubingwa Ligi Kuu Bara