ADC wamtaka msajili wa vyama vya siasa kuwa makini

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Dira ya Maendeleo, Bw. Doyo Hassan Doyo akionyesha baadhi ya nyaraka za chama hicho mapema leo jijini Dar es salaam.

Chama cha ADC Dira ya Maendeleo nchini Tanzania kimeiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa nchini ifanye uchunguzi wa kina kuhusu mgogoro unaondelea ndani ya chama hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS