Serikali iwe makini na mikataba ya wakandarasi
Wataalamu wa Ujenzi nchini Tanzania wameitaka serikali kuwa makini na Makampuni wanayoingia nayo mikataba wa ujenzi wa majengo na barabara nchini kwakuwa baadhi ya wahandisi wanaopewa kufanya kazi hizo hawana viwango.