Vijana watakiwa kuchapakazi na kuwa waadilifu
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Mwaka huu George Mbijima, amewataka Watanzania hasa vijana kuwa waadilifu na wachapakazi katika ajira zao ili kuwavutia waajiri wao wakiwemo wawekezaji wa ndani na nje ya nchi na kukuza uchumi wa taifa