Vyeti vya kidato cha sita 2015 kurejeshwa NECTA
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limeagiza kusitishwa kwa ugawaji wa vyeti vya kidato cha sita kwa wanafunzi waliohitimu mwaka 2015, huku vile vilivyokwisha gawanywa kwa watahiniwa hao vikitakiwa kurejeshwa kwenye baraza hilo.