Matokeo ya wahitimu 70 yazuiwa kwa kutolipa ada
ZAIDI ya wahitimu 70 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Iwambi jijini Mbeya wamelalamikia uongozi wa shule hiyo kwa kitendo cha kucheleweshewa matokeo yao ya mwaka jana hali inayopelekea sintofahamu kuhusu hatma ya matokeo hayo.