Ajeruhiwa na walimu kwa tuhuma za kuiba maandazi
Mwanafunzi wa Kidato cha nne shule ya sekondari Rohila iliyopo Mbalizi, mkoani Mbeya, Laurence Mwangake, amelazwa katika hospitali ya Ifisi baada ya walimu wanne na walinzi wawili kumfungia katika chumba na kumuadhibu na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

