Eritrea yaishutumu Marekani kuhusu Tigray Rais wa Eritrea Isaias Afwerki ameishutumu Marekani kwa kuwaunga mkono waasi wa Tigray wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika hivi karibuni kaskazini mwa Ethiopia. Read more about Eritrea yaishutumu Marekani kuhusu Tigray