Taarifa za ugaidi zilizotolewa kufanyiwa kazi

Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime,

Jeshi la Polisi nchin limeanza kuifanyia kazi taarifa ya tahadhari iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani kwamba kuna uwezekano wa kutokea uhalifu wa kigaidi katika maeneo yanayopendwa kutembelewa na watu wengi wakiwemo wageni hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS