Davido ampa maua yake Chris Brown akiwa yupo hai Picha ya Davido na Chris Brown Super star wa muziki Africa Davido amemtaja Chris Brown kuwa ndio msanii pekee wa kimataifa anayesapoti muziki wa Afrobeats kwa dhati kabisa tangu siku ya kwanza. Read more about Davido ampa maua yake Chris Brown akiwa yupo hai