Moto mkubwa waleta majanga Korea Kusini
Mamia ya watu wamelazimika kuhamishwa baada ya moto kuzuka katika mji uliokuwa unateketea katika mji mkuu wa Korea Kusini, Seoul.Takriban nyumba 60 zimeripotiwa kuharibiwa katika moto wa Ijumaa asubuhi katika Kijiji cha Guryong.