Diwani apiga marufuku wanafunzi kupanda malori
Diwani wa kata ya Agondi Halmashauri ya Itigi mkoani Singida Emmanuel Soghweda amepiga marufuku wanafunzi kupanda malori wanaporudi nyumbani kutoka shule hali ambayo inaweza kuleta madhara ya kukatisha masomo kwa kupata ujauzito na maradhi,