Simba yaongeza kocha mwingine tena Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kumwajiri Ouanane Sellami (42), raia wa Tunisia kuwa kocha msaidizi kwa mkataba wa miaka miwili. Read more about Simba yaongeza kocha mwingine tena