''Kambi ya Dubai ilikuwa ya mafanikio''Ahmedy
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kambi ya siku ya nane waliofanya Mjini Dubai imewapa mafanikio kwa kuwa Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepata muda wa kukaa pamoja na wachezaji.