Muswada bima ya afya wakwama tena bungeni Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao ulikuwa uwasilishwe leo Bungeni Jijini Dodoma umesitishwa tena kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Bungeni na Spika wa Bunge la Tanzania Dk.Tulia Akson Read more about Muswada bima ya afya wakwama tena bungeni