Wanaume wasio na elimu waongoza kumiliki nyumba Nyumba Imeelezwa kuwa wanaume wengi wasio na elimu nchini Kenya wanamiliki nyumba kuliko wale wanaume ambao wana elimu za kuanzia vyuo vya ngazi ya kati hadi vyuo vikuu. Read more about Wanaume wasio na elimu waongoza kumiliki nyumba