Watu 40 wafariki katika ajali ya ndege Nepal

Wanajeshi wa jeshi la anga nchini Nepal wakiendelea na shughuli za kuopoa miili ya wahanga wa ajali

Watu zaidi ya 40 wanasadikika kufariki dunia kwenye ajali ya ndege ya Shirika la Yeti iliyoanguka leo karibu na uwanja wa ndege wa Pokhara nchini Nepal. Ndege hiyo iliyokuwa na watu 72 ilikuwa inatoka Kathmandu kuelekea mji wa kitalii wa Pokhara, imeanguka wakati inatua na ikalipuka moto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS