Akamatwa akituhumiwa kumuua mke wake Pwani
Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja aliefahamika kwa jina moja la Michael akituhumiwa kuhusika na kifo cha utata cha anayedaiwa kuwa ni mke wake marehemu Primsrose Matsambire mwenye umri wa miaka (39) raia wa Zimbabwe