Watafiti watakiwa kuvumbua masalia ya wanyama
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuvumbua zaidi masalia ya wanyama katika eneo la Tendegulu mkoani Lindi, ili kuvutia watalii pia kuendelea kushikilia rekodi katika nchi zilizoweza kuvumbua mali na viumbe wa kale