Uhaba wa mafuta waleta wasiwasi Nigeria Mamlaka ya uchaguzi nchini Nigeria ina wasiwasi kwamba uhaba unaoendelea wa mafuta nchini humo huenda ukaathiri maandalizi ya uchaguzi wa nchi hiyo utakaofanyika Februari 25. Read more about Uhaba wa mafuta waleta wasiwasi Nigeria