"Mwana Fa na Fid Q rapa bora wa muda wote" - Madee
Picha ya msanii Mwana Fa kulia na Fid Q kushoto
Rais wa Manzese Madee amewataja wasanii wa HipHop Mwana Fa na Fid Q kuwa ndio rapa wake bora kwenye mziki wa BongoFleva kwa sababu HipHop yao inauza na wanajaza shows.