Uhuru Kenyatta bado yupo Azimio - Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amekanusha taarifa zilizoenea kuwa aliyekuwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ana mpango wa kujiuzulu wadhifa wake kama mwenyekiti wa baraza la uongozi la Azimio la Umoja One Kenya