Kizimbani kwa kuingiza mifuko ya plastiki nchini
Jovitus Kazimoto (38) mkazi wa Nyamhongolo manispaa ya Ilemela jijini Mwanza amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kuingiza nchini mifuko ya plastiki iliyokatazwa.