Watumiaji bandari ya Tanga wahakikishiwa usalama
Serikali ya Tanzania imezihakikishia ulinzi na usalama nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC na zile zenye mpango wakutumia Bandari ya Tanga katika kupakua na kupakia mzigo kwenye meli kubwa zinazotia nanga katika bandari hiyo ya kimataifa kibiashara