Wanandoa wapewa zawadi ya kuni

Wanandoa wakipokea zawadi za kuni

Video imesambaa mitandaoni ikimuonesja mwanamume mmoja akiwapa zawadi ya kuni maharusi ambao nao waliiopokea zawadi hiyo wakiwa wamejawa na tabasamu kwenye nyuso zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS