Lowassa anatibiwa Afrika Kusini Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Samia kwenda kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, anayepatiwa matibabu nchini Afrika Kusini. Read more about Lowassa anatibiwa Afrika Kusini