CCM Iringa yasisitiza mikutano yenye tija

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Daud Yasini

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Daud Yasini, amesema ni vyema vyama vyote vikafuata utaratibu na kufanya mikutano yenye tija ili kusaidia wananchi kupata maendeleo katika maeneo yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS