Papa wa zamani Benedict aripotiwa kuugua

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameliomba Kanisa kuelekeza maombi kwa Papa wa zamani Benedict huku akieleza kuwa kiongozi huyo wa zamani ni mgonjwa sana na anahitaji maombi ya dunia nzima

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS