Kaya 60 zapata msaada Mbeya
Kiasi cha Tsh. milioni 10 kimetolewa na Umoja wa wanakyela waishio ndani na nje ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya mwaka 2022 kwa ajili ya kuwapatia bima za Afya iliyoboreshwa kaya 60 zenye watu 300, vifaa tiba na madawati 30.