Rais Samia atengua uteuzi wa Diwani Athumani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya aliyeteuliwa Januari 03/ 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu Read more about Rais Samia atengua uteuzi wa Diwani Athumani